Peter Simon Msigwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Peter Simon Msigwa Amezaliwa 8 Juni 1965 ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Iringa Mjini kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017