Iringa Mjini
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Iringa Mjini (kijani) katika mkoa wa Iringa.
Wilaya ya Iringa Mjini ni wilaya moja ya Mkoa wa Iringa. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 106,668 [1].
Eneo lake ni hasa mji wa Iringa pamoja na vijiji vya kando.
Viungo vya Nje [hariri]
| Kata za Wilaya ya Iringa mjini - Tanzania | ||
|---|---|---|
|
Gangilonga | Ilala | Kihesa | Kitanzini | Kitwiru | Kwakilosa | Makorongoni | Mivinjeni | Mkwawa | Mlandege | Mshindo | Mtwivila | Mwangata | Ruaha |
||
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Iringa bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Iringa Mjini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |