Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (kifupi: Chadema) ni chama cha upinzani kilianzishwa mwaka 1992 na mwanasiasa mkongwe na gavana na waziri wa fedha wa zamani enzi za utawala wa Mwl Nyerere.
Viungo vya nje [hariri]
| Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |