Mwari
Mandhari
(Elekezwa kutoka Pelecanidae)
Mwari | ||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||
| ||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||
Spishi 8:
|
Wari (pia miari au wali) au wendambize ni ndege wakubwa wa maji wa jenasi Pelecanus, jenasi pekee ya familia Pelecanidae, wenye domo kubwa na rangi nyeupe au kijivu. Ndege hawa huvua samaki kwa makundi. Domo lao la chini ni ngozi inayoweza kunyoka na kuumba mfuko ili kuuwekea samaki kwa kitambo. Jike huyataga mayai mawili ardhini au kwa tago la matete na matawi kati ya matete, juu ya mti mrefu au juu ya mwamba wa bahari.
Spishi za Afrika
[hariri | hariri chanzo]- Pelecanus crispus, Mwari wa Ulaya (Dalmatian Pelican)
- Pelecanus onocrotalus, Mwari Mweupe (Great White Pelican)
- Pelecanus rufescens, Mwari Mgongo-pinki (Pink-backed Pelican)
Spishi za mabara mengine
[hariri | hariri chanzo]- Pelecanus conspicillatus (Australian Pelican)
- Pelecanus erythrorhynchos (American White Pelican)
- Pelecanus occidentalis (Brown Pelican)
- Pelecanus philippensis (Spot-billed Pelican)
- Pelecanus thagus (Peruvian Pelican)
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Wari wa Ulaya
-
Mwari mweupe
-
Wari mgongo-pinki
-
Australian pelican
-
American white pelican
-
Brown pelican
-
Spot-billed pelican
-
Peruvian pelican