Patricia George

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Patricia del Carmen George
Amezaliwa 18 Decemba 1996
Marekani
Nchi Nigeria
Kazi yake Mchezaji wa mpira wa miguu

Patricia del Carmen George (alizaliwa 18 Desemba 1996) ni mchezaji wa soka wa nchini Nigeria aliyezaliwa nchini Marekani na ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya SC Sand katika ligi ya Frauen-Bundesliga nchini Ujerumani na timu ya taifa ya Nigeria.

Maisha ya Awali[hariri | hariri chanzo]

George alilelewa huko Chicago, Illinois. Alizaliwa na baba mnigeria na mama mwenye asili ya nchini Venezuela.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Patricia George kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.