Owen Richardson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Tuzo Nobel.png
Owen Richardson (chini), mwaka wa 1927

Owen Willans Richardson (26 Aprili, 187915 Februari, 1959) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa anajulikana kwa utafiti wake upande wa nadharia ya thermioni. Mwaka wa 1928 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia. Alipewa cheo cha "Sir" mwaka wa 1939.

Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Owen Richardson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine