Oscar Fanuel Joshua
Mandhari
Oscar Fanuel Joshua | ||
Maelezo binafsi | ||
---|---|---|
Jina kamili | Oscar Fanuel Joshua | |
Tarehe ya kuzaliwa | 6 Aprili 1986 | |
Mahala pa kuzaliwa | Morogoro, Tanzania | |
Maelezo ya klabu | ||
Klabu ya sasa | Yanga Sc | |
Namba | 3 | |
* Magoli alioshinda |
Oscar Fanuel Joshua (alizaliwa 1986) ni mchezaji wa kandanda kutoka Tanzania akicheza nafasi ya beki wa kushoto. Pia anaichezea klabu mashuhuri nchini Tanzania Yanga S.C.
Kuhusu timu ya taifa
[hariri | hariri chanzo]Oscar amewahi kuitwa katika kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania huku akicheza michezo 14 ya Timu ya taifa (Taifa stars) mchezo wa mwisho kucheza Oscar wa timu ya Taifa ulikuwa ni mchezo kati ya Taifa Stars dhidi ya Misri ambapo Taifa stars ilifungwa magoli matatu bila katika mchezo huo
Klabu alizowahi chezea
[hariri | hariri chanzo]- Moro United-2006-2009
- Ruvu Shooting-2010-2011
- Yanga Sc-2012-
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- picha ya Oscar Fanuel Joshua ndani ya timu ya Yanga Ilihifadhiwa 10 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Oscar Fanuel Joshua kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |