Orodha ya wakuu wa nchi ya Gabon
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Gabon |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
|
|
Nchi zingine · Atlasi |
Makala hii inataja waliokuwa wakuu wa nchi ya Gabon kwa kufuatana na utaratibu wa nchi hiyo.
Orodha ya Wakuu wa Nchi wa Gabon [hariri]
(Tarehe zilizo katika mlalo inaashiria uendelezo wa kiofisi usiopingika)
| Muda wa Madaraka | Aliye-Madarakani | Uhusiano | Maelezo |
|---|---|---|---|
| Jamhuri ya Kujitawala ya Gabon | |||
| 28 Novemba 1958 hadi Julai 1959 | Louis Sanmarco, Kamishna Mkuu | ||
| Julai 1959 hadi 17 Agosti 1960 | Jean Risterucci, Kamishna Mkuu | ||
| Jamhuri ya Gabon (République Gabonaise) | |||
| 17 Agosti 1960 hadi 17 Februari 1964 | Léon M'ba, Rais | BDG | Amejiuzulu |
| 17 Februari 1964 hadi 18 Februari 1964 | Kamati ya Mapinduzi:- | ||
| Daniel Mbene | Mil | ||
| Valère Essone | |||
| Jacques Mombo | |||
| Daniel Mbo Edou | |||
| 18 Februari 1964 hadi 19 Februari 1964 | Jean-Hilaire Aubame, Waziri Mkuu wa Muda | Mnyang'anyi | |
| 19 Februari 1964 hadi 28 Novemba 1967 | Léon M'ba, Rais | BDG | Amerejea; amekufa akiwa madarakani |
| 2 Desemba 1967 hadi 1968 | Albert-Bernard Bongo, Rais | BDG | |
| 1968 hadi 29 Septemba 1973 | PDG | Amebadili jina na kuwa Omar Bongo baada ya kubadili dini na kuwa Mwislamu | |
| 29 Septemba 1973 hadi 15 Novemba 2003 | Omar Bongo, Rais | Awali Albert-Bernard Bongo | |
| 15 Novemba 2003 hadi 8 Juni 2009 | El Hadj Omar Bongo Ondimba, Rais | Previously Omar Bongo; amekuwa akiwa madarakani | |
| 6 Mei 2009 hadi 10 Juni 2009 | Didjob Divungi Di Ndinge, Kaimu Rais | PDG | Amekaimu nafasi ya Bongo wakati yu hospitalini, Makamu wa Rais |
| 10 Juni 2009 hadi 16 Oktoba 2009 | Rose Francine Rogombé, Kaimu Rais | PDG | Amemrithi Bongo akiwa kama mrithi kikatiba, Rais wa Seneti |
| 16 Oktoba 2009 kwenda Urais | Ali Bongo Ondimba, Rais | PDG | |
Vyanzo [hariri]
- http://www.rulers.org/rulg1.html#gabon
- Guinness Book of Kings Rulers & Statesmen, Clive Carpenter, Guinness Superlatives Ltd
- African States and Rulers, John Stewart, McFarland
Tazama pia [hariri]
|
|||||||