Omawumi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

obox Person |jina = Omawumi magbele |picha = Labo Daniel and Omawunmi.png|Labo_Daniel_and_Omawunmi]] |maelezo_ya_picha = |tarehe_ya_kuzaliwa = 13 Aprili 1982 |mahala_pa_kuzaliwa = [Nigeria ] |tarehe_ya_kufariki = |mahala_alipofia = |majina_mengine = |anafahamika kwa = omawumi |kazi_yake = mwimbaji na mtunzi |nchi = [Nigeria ] Omawumi Megbele (anajulikana kwa jina lake la kisanii kama Omawumi tu; alizaliwa 13 Aprili 1982) ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo kutoka Nigeria na mwigizaji wa kabila la Itsekiri [1] Yeye ni balozi wa chapa ya Globacom, [2] Konga.com, na Malta Guinness. Yeye pia ni sehemu ya kampeni inayoitwa "Inuka na Nishati ya Afrika(Rise with the Energy of Africa)". [3] Alitangazwa kama mshindi wa pili 2007 kwenye tuzo za Idols za Afrika Magharibi, kipindi cha televisheni cha uhalisia sehemu ya franchise ya Idols . [4] Albamu yake ya pili, The Lasso of Truth, iliripotiwa kuwa na mafanikio ya kibiashara nchini Nigeria. [5]

Maisha binafsi[hariri | hariri chanzo]

Omawumi alizaliwa tarehe 13 Aprili 1982 na Chifu Dk. Frank na Bi. Aya Megbele.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "I never knew I would become a musician – Omawumi", 28 December 2013. Retrieved on 4 January 2014. Archived from the original on 2014-01-04. 
  2. "Glo Picks Omawumi, Others As New Ambassadors", 10 May 2013. Retrieved on 10 May 2013. 
  3. "my first job was the team song I did for Malta Guinness with Cohbams Asuquo", 29 October 2011. Retrieved on 29 October 2011. 
  4. "Omawumi Megbele: Red, hot and rising", 22 June 2013. Retrieved on 4 January 2014. Archived from the original on 2016-03-04. 
  5. "Music: Best of entertainment in 2013", 27 December 2013. Retrieved on 4 January 2014. Archived from the original on 2014-10-24. 
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Omawumi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.