Netsai Mukomberanwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Netsai Mukomberanwa

Netsai Mukomberanwa ni mchongaji sanamu kutokea Zimbabwe. Ni mchongaji sanamu wa kizazi cha pili cha sanaa za Kishona wanaotumia mawe katika uchongaji. Hutumia mchana wake kuzalisha kazi zake katika shamba la familia huko Zuwa. Kazi yake ya msingi ni ualimu wa shule ya msingi.

Netsai ni mwanachama wa familia mashuhuri ya wasanii ya Mukomeranwa. Ni binti wa mchongaji wa kizazi cha kwanza cha uchongaji wa Kishona Nicholas Mukomberanwa na Grace Mukomberanwa. Ni dada wa wachongaji Anderson, Ennica, Taguma, Tendai Mukomberanwa na Lawrence Mukomberanwa, na ni binamu wa Nesbert Mukomberanwa.

Tuzo[hariri | hariri chanzo]

  • Tuzo ya mchongaji mdogo wa kike- 2014 [1]
  • Mwanachama wa kamati ya sanaa za maonyesho Harare[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Archived copy". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-10-18. Iliwekwa mnamo 2014-10-14.  Unknown parameter |url-status= ignored (help)
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-09-08. Iliwekwa mnamo 2021-03-20. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Netsai Mukomberanwa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.