Nebojša Mihailović

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nebojša Mihailović (amezaliwa 13 Aprili 1961)[1] ni raia wa Serbia ambaye alikuwa mchezaji wa mpira wa kikapu wa kulipwa na sasa ni mwanasheria.

Alipokuwa mchezaji wa kulipwa, muda wake wote alichezea Yugoslavia kwenye Klabu za Crvena zvezda, Mladost Zemun, na OKK Beograd.

Mnamo mwaka 1988 alistaafu kucheza mpira wa kikapu akiwa anachezea OKK Beogard na baadae alingia katika kazi ya uwanasheria na hapo mbeleni akafungua kampuni yake ya uwanasheria akiwa kama mwanasheria [2][3][4][5]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nebojša Mihailović Biografija". okkbeograd.org.rs. Iliwekwa mnamo 4 December 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "Savez - Nadzorni odbor i komisije". kss.rs. Iliwekwa mnamo 4 December 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. "TK - suspenzija službenih lica 03.12.2016.". rksis.rs. Iliwekwa mnamo 4 December 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)
  4. "VANREDNI PRELAZNI ROK MK JANUAR 2015". takmicenje.taboosport.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-12-04. Iliwekwa mnamo 4 December 2021.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); Check date values in: |accessdate= (help)
  5. "ODLUKA UO KSS O IMENOVANJU KOMISIJE ZA TAKMIČENJE KSS". rksjs.rs. Iliwekwa mnamo 4 December 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nebojša Mihailović kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.