Nasaba ya Tudor

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nasaba ya Tudor ilikuwa familia ya kifalme nchini Uingereza iliyotawala kwa muda wa miaka 118 kuanzia 1485 hadi 1603.

Mfalme wa kwanza wa Tudor alikuwa Henry VII aliyemshinda mfalme Richard III katika vita ya waridi.

Bunge likamkubali Henry kama mfalme wa kweli. Nasaba ilikwisha wakati malkia Elizabeth I wa Uingereza alipofariki dunia bila mrithi. Hivyo mtoto wa ninamu yake alipokea taji akaanzisha nasaba ya Stuart.

[hariri] Watawala wa nasaba ya Tudor

WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Nasaba ya Tudor" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Nasaba ya Tudor kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.