Nako 2 Nako

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Kutoka kushoto ni Bou Nako, Ibra da Hustler, Lord Eyez na G Nako aka G-warawara

Nako 2 Nako ni kundi la hip hop kutoka Kaskazini mwa Tanzania - Arusha. Kundi linaundwa na wanachama wa3 ambao ni Lord Eyez, G Nako, na bou Nako.msanii ibra da hustler alijitoa kwenye kundi mwez wa 11 2008 kutokana na kupishana maelewano na wanachama wa n2n.anaengelae kufanya muziki kama solo artist akiwa na album tayari.jina la nako 2 nako lipatikana katika dojo wakati wa mazoezi. nako pia inaundwa na wasani wengine ambao bado hawajapata majina(junior nakos) N2N wanatokea Arusha . Kwa miaka mi5 sasa, kundi la n2n limeonyesha uwezo mkubwa katika kuwakilisha muziki wa hiphop. Nyimbo ya Bang original ilofanywa na AMBROS ilitamba baada ya "ndo zetu" ilofanywa na chizan brain na musyoka wa mandugudigi...rmx ya bang ilifanywa na mtayarishaji aitwaye Q kutoka Mou Records ya jijjini Mwanza na remix ya mwisho ya Bang ikafanywa katika studio za mtayarishaji dx pale "NOIZMEKAH".Vilevile nyimbo ya "HAWATUWEZI" iliyorekodiwa na mtayarishaji Pfunk katika studio za Bongo records kule dar ilitamba kwa kipindi kirefu vilevile. Moja kati ya nyimbo zao zinazotamba sana maredioni ni"hiphop" iliyofanywa na mtayarishaji muziki DX wa noizmekah arusha...ambayo remix yake wakakuwemo LORD nako,BOU nako,Gnako na river camp soldiers joe makini na niki wa pili.

Baadhi ya Nyimbo zao Maarufu

  • Ndio Zetu Kuwakilisha 2005
  • Bang 2007
  • Hawatuwezi 2007
  • Bang Rmx 2008
  • Mchizi Wangu [[2008]
  • Hakuna Mahali Kama [2008]
  • Hiphop [[2008]
  • Iko Wazi [2009]
  • Mpango Mzima [2010]
  • Wawiwo [2010]
  • Katikati [2010]

Viungo vya Nje


Musical notes.svg Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Afrika bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nako 2 Nako kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.