Nahomi Kawasumi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nahomi Kawasumi (alizaliwa 23 Septemba 1985) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae anacheza kama kiungo au mshambuliaji wa klabu ya Albirex Niigata tangu mwaka 2008.

Nahomi alishinda medali ya dhahabu katika Kombe la Dunia la 2011,Kombe la Dunia la 2015 pamoja na fedha kwenye mashindano ya Olimpiki huko London mwaka 2012. Wakati wa Kombe la Dunia 2011 alifunga mabao mawili akipiga shuti kali umbali wa yadi 35 dhidi ya Sweden wakati wa nusu fainali na kusaidia timu ya Japan kushinda mashindano kwa mara ya kwanza katika historia yake.[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "FIFA Women's World Cup Canada 2015 – List of Players: Japan". FIFA. uk. 13. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-02-02. Iliwekwa mnamo 2024-04-27. 
  2. Mayers, Joshua. "Reign FC signs Japanese midfielder Nahomi Kawasumi on loan for 2014 season". The Seattle Times. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nahomi Kawasumi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.