Mzwandile Ngubeni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mzwandile Ngubeni
Nchi Bendera ya Afrika Kusini Afrika Kusini
Kazi yake Mwigizaji


Mzwandile Ngubeni (alizaliwa 1982)[1] ni mwigizaji wa Afrika ya Kusini. Anafahamika kwa kuigiza katika filamu ya "In Desert and Wilderness" muongozaji filamu akiwa Gavin Hood. Katika filamu hiyo, alikuwa mhusika mkuu akiwa pamoja na mwigizaji mwingine wa kike wa Afrika ya Kusini, Lungile Shongwe.

Filamu[hariri | hariri chanzo]

  • 2001 Witness to a Kill - kama Bellhop
  • 2001 In Desert and Wilderness - kama Kali
  • 2001 Desert and Wilderness (TV mini-series) - kama Kali
  • 2008 Jerusalema - kama Young Bull
  • 2009 Qudhmun Adeerkii - kama polisi Nageeye katika vita
  • 2010 MsX Bodyguards - kama muuza dukani
  • 2011 Waalane Weeji - kama mgeni

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mzwandile Ngubeni kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.