Mzimu wa Watu wa Kale
Mandhari
Mzimu wa Watu wa Kale ni mojawapo ya riwaya za Muhammed Said Abdulla.
Stori
[hariri | hariri chanzo]Bwana Musa kwa kipawa chake cha upelelezi anagundua kwamba Bw. Ali aliuawa na Ahmad, mwana wa Waarabu wawili walioishi Kongo.
Baniani Seti anaipora maiti ya Bw. Ali shilingi 50,000 na kusafirisha mwili wake hadi kwenye msitu wa Mzimu wa watu wa kale.
Spekta Seif na Najum wanashangaa kutokana na uwezo wa pekee wa Bw. Musa wa kufukua ukweli wa mambo.
Makala hii kuhusu kitabu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mzimu wa Watu wa Kale kama Mwandishi wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |