Mzee Ngwali Zubeir

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mzee Ngwali Zubeir (amezaliwa tar. 4 Februari 1963) ni mbunge wa jimbo la Mkwajuni katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Mengi kuhusu Mzee Ngwali Zubeir". 19 Julai 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-26. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.  Unknown parameter |= ignored (help)