Mtumiaji:ISSA LASWAY

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jean Grove(Machi 10, 1927 - Januari 17, 2001) alikuwa mwanageografia na mwanabiolojia wa Uingereza anajulikana kwa utafiti wake wa mabadiliko ya hali ya hewa katika kipindi cha barafu duniani kote.


Maisha ya Awali na Elimu[hariri | hariri chanzo]

wazazi wake ni Jean Mary Clark na Mary Johnson Clark mmoja wa wanakemia wa kwanza wanawake katika Chuo Kikuu cha Cambridge. Wazazi wake wote walikuwa wanasayansi, na dada yake mdogo Margaret Spufford akawa mwanahistoria maarufu wa Uingereza katika karne ya 16 na 17. Alisoma chuo cha Newnham College na akapata shahada ya jiografia mnamo 1948, kisha akapata Shahada ya Uzamili ya glasiolojia katika chuo cha Bedford College mnamo mwaka 1956.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mtumiaji:ISSA LASWAY kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.