Moskva (mto)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mto Moskva
Mto Moskva mjini Moscow
Chanzo Vilima vya Smolensk
Mdomo Mto Oka (karibu na Kolomna)
Nchi Urusi
Urefu 509 km
Mkondo 7,000 m³/s
Eneo la beseni 17,600 km²
Miji mikubwa kando lake Moscow
Ramani ya beseni ya Volga pamoja na Moskva

Mto Moskva (Kirusi: Москва) ni mto wa Urusi unaopita katika mikoa ya Moscow na Smolensk na kwenye mji wa Moscow mwenyewe. Urefu wake ni kilomita 503. Unaishia katika mto Oka kwenye mji wa Kolomna. Kwa jumla ni sehemu ya beseni ya Volga.