Monica Birwinyo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Usama na Monica


Monica Jacobs Birwinyo (alizaliwa 4 Juni 1990) ni mwigizaji wa Uganda.

Monica alipoanza kazi ya uigizaji hakuwa anajulikana lakini baadae alipata umaarufu kupitia kazi hii. Baadhi ya filamu alizocheza ni Imbabazi, The Pardon na Irene Kulabako's Beauty to Ashes[1][2] na NBS na kuwa muugizaji maarufu wa mfululizo wa filamu Because of U.[3] 5@home, the Honorablez, Mela na Zansanze.

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Mnamo mwezi wa tatu mwaka 2012, Monica Birwinyo, Irene Asumpta na Jacob Nsaali walikubalika kama washiriki wa kipindi cha kwanza kinachoitwa Movie Digest Show.[4] kwa sasa hivi anashiriki kipindi cha pili na Usama Mukwaya.[5] Monica ameshawahi kushirikishwa kwenye Joel Karekezi's Imbabazi, The Pardon, kama Muhoza.[6]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-10-19. Iliwekwa mnamo 2020-10-17. 
  2. "Archived copy". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-04-07. Iliwekwa mnamo 2013-04-20.  Unknown parameter |url-status= ignored (help)
  3. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-10-19. Iliwekwa mnamo 2020-10-17. 
  4. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-10-20. Iliwekwa mnamo 2020-10-17. 
  5. "Archived copy". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-04-07. Iliwekwa mnamo 2013-04-20.  Unknown parameter |url-status= ignored (help)
  6. "Imbabazi (2013)", IMDb.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Monica Birwinyo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.