Mohamed Boudiaf
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mohamed Boudiaf (23 Juni, 1919 - 29 Juni, 1992) alikuwa Rais wa nchi ya Algeria kuanzia 11 Januari, 1992, hadi siku ya kifo chake alipouawa. Alifuatwa na Ali Kafi.
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mohamed Boudiaf kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
