Mlima Kubi Gangri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mlima Kubi Gangri ni mlima unaopatikana katika bara la Asia kati ya mpaka wa kimataifa wa Nepal na China (Tibet) ukiwa na urefu wa mita 6,859 [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Kubi Gangri - Peakbagger.com". www.peakbagger.com. Iliwekwa mnamo 2020-03-05. 
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mlima Kubi Gangri kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.