Mkoa wa Oshana
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Oshana katika Namibia
Mkoa wa Oshana ni moja ya mikoa 13 ya kujitawala ya Namibia lenye wakazi 161,977 kwenye eneo la 5,290 km². Mji mkuu ni Oshakati.
Jiografia [hariri]
Miji mikubwa ni pamoja na Oshakati, Ondangwa na Ongwediva.
Picha za Oshana [hariri]
Tovuti za Nje [hariri]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
| Makala hii kuhusu maeneo ya Namibia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Oshana kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
|
|
|
|---|---|
| Caprivi | Erongo | Hardap | Karas | Kavango | Khomas | Kunene | Ohangwena | Omaheke | Omusati | Oshana | Oshikoto | Otjozondjupa | |