Mkoa wa Oshikoto

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Oshikoto katika Namibia

Mkoa wa Oshikoto ni moja ya mikoa 13 ya kujitawala ya Namibia lenye wakazi 160,788 kwenye eneo la 26,607 km². Mji mkuu ni Omuthiya.

Jiografia[hariri | hariri chanzo]

Miji mikubwa ni pamoja na Tsumeb na Oniipa.


Picha za Oshikoto[hariri | hariri chanzo]

Tovuti za Nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Namibia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Oshikoto kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


 
Mikoa ya Namibia
Bandera ya Namibia
Caprivi | Erongo | Hardap | Karas | Kavango | Khomas | Kunene | Ohangwena | Omaheke | Omusati | Oshana | Oshikoto | Otjozondjupa