Mitume kumi na wawili wa Ireland

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Finiani wa Clonard akiwabariki mitume kumi na wawili wa Ireland.

Mitume kumi na wawili wa Ireland walikuwa wachache bora kati ya maelfu ya wanafunzi wa Finiani wa Clonard (470-549) katika monasteri ya Clonard, Ireland, kituo muhimu sana cha Ukristo wa Kikelti[1].

Majina yao[hariri | hariri chanzo]

  1. Kieran wa Saighir
  2. Kieran Kijana
  3. Brendan wa Birr
  4. Brendan Baharia
  5. Kolumba wa Terryglass
  6. Kolumba wa Iona
  7. Berchan
  8. Ruadan
  9. Senan
  10. Ninnidh
  11. Laisren
  12. Keneth

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Gratton-Flood, W.H. (1 March 1907). "The Twelve Apostles of Erin". The Catholic Encyclopedia (New York: Robert Appleton Company) I. Iliwekwa mnamo 9 February 2008.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Dá apstol décc na hÉrenn, ed. Charles Plummer (1922). Oxford. 2 vols: 1 and 2. Clarendon. ku. 96–102 (vol. 1, text), 93–8 (vol. 2, translation).  See also pp. xxiv–xxv (vol. 1).
  • Mac Mathúna, Séamus (2006). "The Irish Life of Saint Brendan: Textual History, Structure and Date". In Glyn S. Burgess and Clara Strijbosch. The Brendan Legend: Texts and Versions. Leiden and Boston: Brill. pp. 117–58.
  • Gratton-Flood, W.H. (1 March 1907). "The Twelve Apostles of Erin". The Catholic Encyclopedia (New York: Robert Appleton Company) I. Iliwekwa mnamo 9 February 2008.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  • O'Donovan, John (1842). The Banquet of Dun Na N-Gedh and The Battle of Magh Rath. For the Irish Archaeological Society. uk. 26. ISBN 978-0-7661-8765-8. .

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mitume kumi na wawili wa Ireland kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.