Missy Goodwin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Missy Goodwin (alizaliwa 27 Januari 2003)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uingereza[2] ambaye anacheza kama mshambuilaji wa klabu ya Leicester City inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) na timu ya taifa ya Uingereza kwa walio na umri chini ya miaka 23.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "England - M. Goodwin - Profile with news, career statistics and history - Soccerway". uk.soccerway.com. Iliwekwa mnamo 2024-04-27. 
  2. "Talented Redditch footballer selected for women’s England squad". Redditch Standard (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-27. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Missy Goodwin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.