Milima ya Mgwila

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Milima ya Mgwila (kwa Kiingereza pia "Guami Mountains") iko mashariki mwa Tanzania katika Mkoa wa Morogoro.

Kilele cha juu kiko mita 979 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]