Milima ya Usambara
Mandhari
Milima ya Usambara ni sehemu iliyoinuka upande wa Kaskazini Mashariki wa nchi ya Tanzania.
Milima ya Usambara ni milima kunjamano yaani milima iliyoshikana kutoka mlima mmoja mpaka mwingine. Ni sehemu ya Tao la Mashariki.
Wenyeji wanaoishi maeneo haya ni Wasambaa, ndiyo maana ikaitwa milima ya Usambara. Iko katika mkoa wa Tanga kuanzia Korogwe kuelekea kaskazini mpaka karibu na milima ya Upare.
Milima hiyo ni:
- Mlima Bumba
- Mlima Chambolo
- Mlima Dindila
- Mlima Gombelo
- Mlima Gonja
- Mlima Kagambe
- Mlima Kilanga
- Mlima Kilimandege
- Mlima Kwagoroto
- Mlima Kwashemhambu
- Mlima Magamba
- Mlima Makanja
- Mlima Mashindei
- Mlima Matundsi
- Mlima Mavumbi
- Mlima Mlomboza
- Mlima Myanko
- Mlima Mzinga
- Mlima Mzogoti
- Mlima Nengoma
- Mlima Shagein
- Mlima Shemausha
- Mlima Sungwi
- Mlima Zumbu
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Milima ya Usambara kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |