Midjourney (akili bandia zalishi)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nembo ya Midjourney

Midjourney ni programu na huduma ya akili bandia ya kuzalisha iliyoundwa na kusimamiwa na maabara ya kujitegemea ya tafiti za akili bandia yenye makazi yake San Francisco, nchini Marekani ya Midjourney inc.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Midjourney", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2024-01-07, iliwekwa mnamo 2024-01-11 
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.