Max von Laue

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tuzo Nobel.png
Max von Laue

Max von Laue (9 Oktoba, 187924 Aprili, 1960) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Ujerumani. Pamoja na utafiti mwingine alichunguza mionzi ya eksirei. Mwaka wa 1914 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia. Tangu mwaka wa 1950 alikuwa mkurugenzi wa Taasisi ya Max Planck kwa kemia ya kifizikia kule Berlin.

Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Max von Laue kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.