Mark S. Hayes (aliyezaliwa 12 Julai 1949) ni mchezaji wa Golf wa Marekani.
Hayes alizaliwa mjini Stillwater, Oklahoma nchini Marekani. Aliichezea timu ya Shule ya Oklahoma State University. Alishinda katika mashindano ya Sunnehanna Amateur mnamo 1972. Pia alishinda mara tatu katika mashindano ya PGA Tour: Byron Nelson Golf Classic na Pensacola Open mnamo 1976 na Tournament Players Championship mnamo 1977. Pia alishinda katika mashindano yaliyodhaminiwa na PGA Tour ya Tallahassee Open mnamo 1986 na mara tatu katika mashindano ya Oklahoma Open. Alicheza katika timu ya 1979 katika kombe la Ryder.
Baada ya kufika umri wa miaka 50, Hayes alijiunga na ligi ya Senior PGA Tour (Sasa hivi ikiitwa Champions Tour) lakini hajawahi kushinda katika kiwango hicho na hajawahi kucheza shindano lililopangwa kikamilifu.
Haye anajulikana sana kwa kofia zake za trademark bucket.
Ushindi wa Amateur (1) [hariri]
Ushindi wa Kikazi (7) [hariri]
Ushindi wa PGA Tour (3) [hariri]
Ushindi mwingime (4) [hariri]
Viungo vya Nje [hariri]