Maria Haller

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Maria de Jesus Haller ( alizaliwa mwaka 1923 – amefariki 18 Oktoba 2006), alikuwa balozi wa kwanza mwanamke wa Angola. Maria Alishiriki katika harakati za kupigania uhuru wa Angola kutoka kwa mamlaka ya kikoloni, Ureno, na alikuwa mwalimu na mwandishi wa habari.[1]

Wasifu[hariri | hariri chanzo]

Maria alizaliwa Angola kama Maria de Jesus Nunes Da Silva mnamo mwaka 1923,akiwa binti wa mfanyikazi wa shamba mwenye umri wa miaka 12 ambaye alibakwa na mmiliki wa shamba hilo.[2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Morreu Maria Haller, primeira embaixadora de Angola", Angola Press Agency, 18 October 2006. (Portuguese) 
  2. 1000 Peacewomen Across the Globe. Scalo Verlag Ac. 2006. uk. 924. ISBN 978-3039390397. 
  3. Haller, Colinette (2016). Le dos de ma lumière (kwa French). Chiado Editeur. ISBN 9789895151738. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Maria Haller kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.