Marguerite Barankitse

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

'

Marguerite Barankitse
Amezaliwa1957
Ruyigi
Kazi yakeMwanaharakati wa haki zabinadamu


Marguerite (Maggie) Barankitse (aliyezaliwa Ruyigi, jimbo la Ruyigi, Burundi, 1957) ni mwanaharakati wa haki za kibinadamu ambaye anafanya kazi ili kuboresha ustawi wa watoto na kupinga ubaguzi wa kikabila nchini Burundi. Baada ya kuwaokoa watoto 25 kutokana na mauaji, alilazimika kushuhudia migogoro kati ya Wahutu na Watutsi nchini mwake mwaka 1993.[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. The Huffingtonpost,"Burundi's Great Mother: Maggie Barankitse", October 2013 https://www.huffingtonpost.com/katherine-marshall/burundis-great-mother-mag_b_3813440.html.
  2. Council on Foreign Relations, Burundi Political Crisis, https://www.cfr.org/interactives/global-conflict-tracker#!/conflict/political-crisis-in-burundi.
  1. https://www.huffingtonpost.com/katherine-marshall/burundis-great-mother-mag_b_3813440.html
  2. https://www.cfr.org/interactives/global-conflict-tracker#!/conflict/political-crisis-in-burundi