Marcela Cristina Gómez

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Marcela Cristina Gómez (alizaliwa 19 Februari 1984)[1][2] ni mwanariadha wa masafa marefu kutoka Argentina. Alishiriki katika mbio za marathoni za wanawake katika Olimpiki ya Majira ya joto 2020 iliyofanyika Tokyo, Japani.[3] Mnamo 2020, alishindana katika mbio za nusu marathon za wanawake katika Mashindano ya dunia ya riadha ya nusu marathoni ya 2020 yaliyofanyika Gdynia, Poland.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Marcela Cristina GOMEZ | Profile | World Athletics". worldathletics.org. Iliwekwa mnamo 2021-11-01. 
  2. 2.0 2.1 Women Half Marathon.
  3. "Marcela Cristina GOMEZ". Olympics.com. Iliwekwa mnamo 2021-11-01.