Majadiliano:Taya

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Shida za taya[hariri chanzo]

Sehemu hii haieleweki. Sielewi "taya laini" ni nini. Magonjwa yanayotokea kweli hayatajwi (kama maambukizo ya kifupa, kukaza mno musuli za taya, nk). Kipala (majadiliano) 19:06, 6 Februari 2018 (UTC)[jibu]

Inaonekana kuna watu wawili wanachangia mada za afya na tiba ili kupendekeza bidhaa zao. Mmoja alitangulia (Jimmwandishi), mwingine alifuata (Hreflafa). Nimewavumilia nikijaribu kurudisha michango yao katika taratibu za Wikipedia, lakini... --Riccardo Riccioni (majadiliano) 11:20, 7 Februari 2018 (UTC)[jibu]