Majadiliano:Tamthilia

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kati ya kurasa 1000 za msingi, mmoja ni Theatre. Tafsiri yake inaweza kuwa tamthilia. Lakini ukurasa huu umeunganishwa na Play (theatre). Tuanzishe ukurasa mpya au tubadilishe viungo vya huu? --Riccardo Riccioni (majadiliano) 14:24, 11 Agosti 2015 (UTC)[jibu]

Nitashukuru kama unaweza kufanya azimio kama "tamthiliya" ni zaidi fani ya sanaa au kama ni zaidi onyesho la hadithi fulani kwa njia ya kuiigiza kwenye kujwaa. Mimi sina uhakika. Labda mwalimu wa lugha atajua? Kama unaweza kuamua basi baadaye tunaweza kutumia moja kwa mabano . Labda inawezekana pia kutumia "igizo" kwa play. Kama ni hivi, basi tuhamishe. Kipala (majadiliano) 21:22, 11 Agosti 2015 (UTC)[jibu]