Majadiliano:Peramiho

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Untitled[hariri chanzo]

Waungwana, hamna namna ya kuweka JAMII katika makala hii?--Mwanaharakati (Longa) 06:56, 1 Desemba 2008 (UTC)[jibu]

Kumradhi kidogo. Songea ni Mkoa au Wilaya? Kwa mujibu wa JAMII iliyowekwa katika makala, yaonyesha ya kwamba Songea ni Mkoa, yaani Category:Mkoa wa Songea. Ni swali tu!--Mwanaharakati (Longa) 10:05, 1 Desemba 2008 (UTC)[jibu]