Majadiliano:Msokoto wa watoto wachanga

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kwa bahati mbaya mfano wa tafsiri ya google-translate isiyofanyiwa kazi kwa hiyo imefikishwa hapa ikiwa mbichi. Kazi nyingi! Kipala (majadiliano) 08:53, 9 Novemba 2010 (UTC)[jibu]

Niliona hilo. Hata sijui inakuwaje? Watu hawafikirii kabla ya kupakia makala? Haya,ukiwa una wazo, basi wakilisha!--MwanaharakatiLonga 08:56, 9 Novemba 2010 (UTC)[jibu]