Majadiliano:Mkuzi
Haya ni Majadiliano kwa ajili ya kuboresha makala ya Mkuzi. | |||
---|---|---|---|
|
|
Hii ni makala ya Mkuzi ipo katika eneo la Wikipedia:Mradi wa Tanzania, juhudi za pamoja katika kuboresha maeneo ya Tanzania kwenye Wikipedia. Iwapo utapenda kushiriki, tafadhali tembelea ukurasa wa mradi, ambapo unaweza kujiunga na majadiliano na utazame orodha ya kazi zilizo wazi. |
Kuhusu shule[hariri chanzo]
Mchangiaji hakuleta vyanzo kuwa Wajerumani walianzisha shule ya sekondari. Ilhali kwa kawaida shule juu ya kiwango cha kimsingi zilikuwa chache sana wakati ule nadhani hii ni imani ya kimahali bila msingi katika hali halisi. Hadi kuleta nimeifuta. Kipala (majadiliano) 21:06, 24 Juni 2016 (UTC)