Majadiliano:Mkuzi

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kuhusu shule[hariri chanzo]

Mchangiaji hakuleta vyanzo kuwa Wajerumani walianzisha shule ya sekondari. Ilhali kwa kawaida shule juu ya kiwango cha kimsingi zilikuwa chache sana wakati ule nadhani hii ni imani ya kimahali bila msingi katika hali halisi. Hadi kuleta nimeifuta. Kipala (majadiliano) 21:06, 24 Juni 2016 (UTC)[jibu]