Majadiliano:Lusajo Chicharito Brown
Maoni na habari[hariri chanzo]
Makala ina maoni kadhaa nje ya habari. Maoni yanaweza kubaki tu kama kuna vyanzo vya kunukuliwa. Ilhali hakuna nafuta sehemu hii. Tazama hapa: Msimamo wa kutopendelea na pia hapa: Kutofautisha mawazo na habari halisi Kipala (majadiliano) 11:25, 6 Juni 2015 (UTC)
- Makala ni ya kufuta. Urongo mtupu. Halafu huwezi kujianidkia makala. Sharia zetu zina kinzana na utaratibu huu.--MwanaharakatiLonga 17:39, 6 Juni 2015 (UTC)