Majadiliano:Kusini

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kusi - Kushi???=[hariri chanzo]

Nina wasiwasi sana kuhusu maelezo kuwa asili ya neno "kusi / kusini" ina uhusiano na jina la "Kushi" jinsi ilivyo katika Biblia na katika historia ya Ufalme wa Kushi. Maelezo katika makala hayaonyeshi chanzo wala uthibitisho. Sijakuta neno "kusi" katika kamusi zangu za Kiarabu; kusini kwa Kiarabu kwa kawaida ni "junub" (جنوب). Kipala (majadiliano) 12:47, 5 Julai 2019 (UTC)[jibu]