Majadiliano:Kusini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kusi - Kushi???=[hariri chanzo]

Nina wasiwasi sana kuhusu maelezo kuwa asili ya neno "kusi / kusini" ina uhusiano na jina la "Kushi" jinsi ilivyo katika Biblia na katika historia ya Ufalme wa Kushi. Maelezo katika makala hayaonyeshi chanzo wala uthibitisho. Sijakuta neno "kusi" katika kamusi zangu za Kiarabu; kusini kwa Kiarabu kwa kawaida ni "junub" (جنوب). Kipala (majadiliano) 12:47, 5 Julai 2019 (UTC)[reply]