Majadiliano:Bukoba (mji)

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sioni majina ya kata katika wilaya hii. Sasa sijui wewe mwenzangu umeoyaonaje? Naona miidadi ya watu tu bila majina ya kata, mmhh, mbona mauzauza (maajabu).--Mwanaharakati (Longa) 07:49, 21 Februari 2009 (UTC)[jibu]