Maho Fujishiro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Maho Fujishiro (alizaliwa 17 Mei 2000) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae anacheza kama beki wa klabu ya wanawake ya JEF United Chiba inayoshiriki ligi ya Yogibo WE huko Japani. Maho alicheza kwa mara ya kwanza kwenye Ligi ya Yogibo WE mnamo 20 Septemba 2021.[1][2]


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Maho Fujishiro". 
  2. "Scoresheet". weleague.jp. September 2021. Iliwekwa mnamo 27 April 2023.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Maho Fujishiro kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.