Magofu ya Msuka Mjini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Magofu ya Msuka Mjini (Mji wa Kale wa Msuka Mjini) ni eneo lililohifadhiwa la kihistoria lililopo ndani ya Wilaya ya Micheweni, Mkoa wa Kaskazini Pemba nchini Tanzania.

Msuka Mjini ina msikiti wa Kiswahili tokea karne ya kumi na tano uliohifadhiwa katika magofu kwenye peninsula ya Kigomasha kisiwani humo. Tarehe ya 816AH (1414 CE) imechongwa sehemu ya ndani ya duara ya mirhabu.[1][2][3][4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Zanzibar Historical Sites - Saving Tour" (kwa en-US). 2020-04-12. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-11-21. Iliwekwa mnamo 2022-08-11. 
  2. http://erepository.uonbi.ac.ke/bitstream/handle/11295/63888/Kessy_The%20economic%20basis%20and%20the%20location%20of%20some%20%20iron%20age%20%20settlements.pdf?sequence=2
  3. Allen, James de Vere (1981). "Swahili Culture and the Nature of East Coast Settlement". The International Journal of African Historical Studies 14 (2): 306–334. ISSN 0361-7882. doi:10.2307/218047. 
  4. Schacht, J. (1957). "An Unknown Type of Minbar and Its Historical Significance". Ars Orientalis 2: 149–173. ISSN 0571-1371.