Mafia
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mafia ni neno la kumaanisha
- Kisiwa cha Mafia katika Tanzania
- Wilaya ya Mafia katika Tanzania inayojumuisha kisiwa cha Mafia pamoja na visiwa vidogovidogo karibu nacho
- Mafia (Shirika la jinai) la Kiitalia limepatikana pia Marekani