Lugha ya Kisii

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Jina la lugha
Ekegusii
Inazungumzwa nchini Kenya
Ukanda Magharibi mwa Kenya, wilayani Gusii
Jumla ya wazungumzaji Milioni 1,5
Familia ya lugha {{
  1. switch:Niger-Congo
Afro-asiatic | yellow = Afro-Asiatic orange = Niger-Congo gold = Nilo-Saharan goldenrod = Khoisan lawngreen = Indo-European lightgreen = Caucasian yellowgreen = Altaic limegreen = Uralic mediumspringgreen = Dravidian Paleo-Siberian | Paleo-siberian | Palaeosiberian | Palaeo-Siberian | Palaeo-siberian = Paleosiberian pink = Austronesian Austro-asiatic | Austroasiatic | lightcoral = Austro-Asiatic tomato = Sino-Tibetan Hmong-Mien = Hmong-Mien orchid = Australian violet = Papuan lavender = Tai-Kadai lightblue = American Na-Dené | deepskyblue = Na-Dené Dené-Yeniseian | deepskyblue = Dené-Yeniseian lightcyan = Eskimo-Aleut creole = Creole pidgin = Pidgin mixed = Mixed isolate | language isolate | #dddddd = language isolate sign | sign language | silver = sign language conlang | constructed language | black = constructed language default | white = —

}}

Misimbo ya lugha
ISO 639-1 None
ISO 639-2 bnt
ISO 639-3 guz

Lugha ya Kisii ambayo pia huitwa Gusii au Ekegusii ni Ligha ya Kibantu ambayo huzungumzwa na watu wa eneo la Kisii ambalo makao yake makuu ni Mji wa Kisii (kati ya Ziwa Victoria na Mpaka wa Kenya-Tanzania) katika Mkoa wa Nyanza nchini Kenya. Lugha hii huzungumzwa na Wakisii

Yaliyomo

Ainisho [hariri]

Gusii imeainishwa kama lugha ya Bantu ya Kati, kundi moja na Lugha ya Kikuria, kundi ambalo limepewa anwani ya E.10 katika makala ya Aina za Lugha za Bantu yaliyotungwa na Malcolm Guthrie. Lugha zinazofanana zinapatikana nchini Tanzania nazo ni:

Sauti [hariri]

Sauti za Gusii takribani zote zinaambatana na irabu.

irabu [hariri]

Lugha ya Kisii ina irabu saba, zingine zikiundwa kutokana na urefu wa kuzitamka. Kwa mfano, maneno 'bora' (kosekana) na 'boora' (sema) yanatofautishwa tu na urefu wa irabu 'o' n 'oo'.

Irabu za Kisauti kwa Lugha ya Gusii
. Mbele Kati Nyuma
Iliyofungwa i u
Karibu-Iliyofungwa ɪ ʊ
Kati-Wazi ɛ ɔ
Wazi a

Konsonanti [hariri]

Katika jedwali lifuatalo, alama za uandishi ambazo hutofautiana na zile za Alfabeti ya Kimataifa (IPA) zimewekewa mabano. palipo na alama mbili pamoja, ya kulia inaashiria konsonanti inavyotamkwa.

Sauti za Konsonanti katika Lugha ya Kisii, kulingana na IPA.
. bilabial alveo-palatal palatal velar
plosive p   b t c (c) k   g
fricative   s    
affricate     cç (c)  
nasal m n ɲ (ny) ŋ (ng')
trill   r    
approximant w   j (y)  

Mofolojia ifuatayo pia inatumika:

  • n+r = nd
  • n+b = mb
  • n+g = ŋg
  • n+k = ŋk
  • n+m = mm

Kumbukumbu [hariri]

Bickmore, Lee

  • 1997. Problems in constraining High tone spread in Ekegusii. Lingua, Toleo la 102, uk. 265-290.
  • 1998. Metathesis and Dahl’s Law in Ekegusii. Studies in the Linguistic Sciences, Toleo la. 28:2, uk. 149-168.
  • 1999. High Tone Spreading in Ekegusii Revisited: An Optimality Theoretic Account. Lingua, toleo. 109, uk. 109-153.

Cammenga, Jelle

  • 2002 Phonology and morphology of Ekegusii: a Bantu language of Kenya. Köln: Rüdiger Köppe Verlag.

Whiteley, Wilfred H.

  • 1956 A practical introduction to Gusii. Dar es Salaam/Nairobi/Kampala: East African Literature Bureau.
  • 1960 The tense system of Gusii. Kampala: East African Institute of Social Research.
  • 1974 Language in Kenia. Nairobi: Oxford University Press.

Viungo vya Nje [hariri]

Kusikiza [hariri]

Tazama Pia [hariri]