Lugha za Kenya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Tazama Pia: Mfumo wa Lugha Nyingi nchini Kenya

Kenya ni nchi ya Lugha nyingi.Lugha zake za taifa ni Kiswahili and Kiingereza. Kuna jumla ya Lugha 62 zinazozungumzwa nchini Kenya (Kulingana na Ethnologue), nyingi zao zikiwa za asili ya Kiafrika na baadhi ya lugha za asili ya Kiasia na Mashariki ya Kati.

Yaliyomo

Familia za Lugha[hariri]

Lugha za asili ya Kiafrika zimetokana na familia Tatu:

  • Bantu ambayo inazungumzwa katika maeneo ya Kati na kusini Mashariki
  • Nailoti (Nilotes) ambayo inapatikana Mgharibi
  • Kushaiti (Cushites) Kaskazini-Mashariki mwa Nchi

Orodha ya Lugha[hariri]

A-E[hariri]

G-N[hariri]

O-T[hariri]

U-Z[hariri]

Tazama Pia[hariri]

Mfumo wa Lugha Nyingi, Kenya Lugha rasmi

Virejeleo[hariri]

Viungo vya Nje[hariri]


Flag-map of Kenya.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Lugha za Kenya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.