Ludwigshafen am Rhein
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Ludwigshafen | |||
| Kitovu cha mji wa Ludwigshafen | |||
|
|||
| Mahali pa mji wa Ludwigshafen katika Ujerumani | |||
| Anwani ya kijiografia: 49°30′N 8°26′E / 49.5°N 8.433°E | |||
| Nchi | Ujerumani | ||
|---|---|---|---|
| Jimbo | Rhine-Palatino | ||
| Idadi ya wakazi | |||
| - Mji | 163,340 | ||
| Tovuti: www.ludwigshafen.de | |||
Ludwigshafen am Rhein au Ludwigshafen ni mji wa Rhine-Palatino nchini Ujerumani. Iko kando ya mto Rhine (Rhein). Idadi ya wakazi wake ni takriban 163,340. Mji ulianzishwa 1820.
[hariri] Tazama pia
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
| Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ludwigshafen am Rhein kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |